Elvis W Courses

Protesting with Purpose: A Guide for Gen Z
About Lesson

Defining the Purpose and Goals of the Protest

Story Time:

Wasee, imagine unataka kuandamana juu ya kitu fulani lakini hujui exactly ni nini unadai.

Kama hujui purpose yako, ni kama umeenda exam bila kujua maswali.

Let’s take an example ya ile time wasee walikuwa wanadai fees reduction kwa campus.

Walijua kabisa wanataka nini – kupunguzwa kwa school fees.

Hii iliwasaidia kuwa na clear purpose na focus kwenye maandamano yao.

Kaa Rada:

Define Your Purpose:

Jua unandamana juu ya nini. Labda ni juu ya overtaxation, oppression, ama job losses.

Kuwa specific na jua exactly unataka nini kibadilike.

Set Achievable Goals:

Malengo yako lazima yawe realistic.

Kama ni kupunguzwa kwa ushuru, weka wazi ni percentage gani unapendekeza ipunguzwe.

Goals zako ziwe clear ili watu wakiungana nawe, wanajua wanapigania nini.

Real Talk:

Ukijua purpose yako, itakuwa easier kuwa na direction.

Na watu watajoin maandamano yako wakiwa na nguvu na focus kwa sababu wanajua wanapigania nini.

Usikubali kuwa dwanzi, jua purpose yako kabla hujaanza maandamano.

Crafting a Clear and Compelling Message

Story Time:

Unakumbuka ile time wasee walikuwa wanaandamana juu ya corruption?

Waliweka messages zao kwa mabanner na placards, “No More Corruption”, “Accountability Now”.

Hizi messages zilikuwa clear na powerful, na zilileta attention mob kwa issue yao.

Kaa Rada:

Simplicity is Key: Message yako inafaa kuwa simple na direct. Usijaribu kutumia maneno magumu, tumia lugha ambayo kila mtu anaelewa.

Be Compelling: Message yako lazima iguse watu. Kama unandamana juu ya job losses, unaweza kuwa na message kama “Save Our Jobs, Save Our Future”. Hii inaweka emphasis kwa nini maandamano ni muhimu.

Use Visuals: Placards, banners, na posters zinafaa kuwa na graphics ama picha ambazo zinaelezea message yako. Hii inasaidia kuvuta attention na kufanya watu wakumbuke message yako easily.

Real Talk: Ukiwa na clear and compelling message, maandamano yako yata attract more support na attention.

Message yako inafaa iwe na nguvu ya kuvutia wasee na kuwashtua kuhusu issue unayotaka kubadilisha.

Usikubali message yako iwe na uwaganis, iwe straight to the point.

N/B: Kaa rada na usijifanye dwanzi.

Jua purpose yako na craft message yenye ita move watu na kuleta change.

Kenya ni yetu, na ni haki yetu kuongea na kudai mabadiliko tunayohitaji.